Sherehe
za kuwatunuku washindi wa tuzo za Kilimanjaro Premium
Lager Tanzania Music Awards zilifanyika siku ya Jumamosi
tarehe 03 Juni, 2006 kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza
kwa kutunuku tuzo hizo na burudani mbalimbali.
Yafuatayo ndiyo majina ya makundi/wasanii walioibuka
kidedea usiku huo:
| AINA YA TUZO |
JINA LA MSHINDI |
| Hall of
fame |
Hayati Marijani Rajabu |
| Wimbo wa Mwaka |
Nikusaidiaje (Prof.
J) |
| Mwimbajie Bora wa Kiume |
Hassan Rehani Bitchuka |
| Mwimbaji Bora wa Kike |
Sabbah Salum Muchacho |
| Mwanamuziki anayechipukia |
Jocelyn |
| Mwandikaji bora wa Muziki |
Mzee Yusuf |
| Mtunzi bora wa Muziki |
Hayati TX Moshi William |
| Mtayarishaji bora wa
Muziki |
P. Funk |
| Mtayarishaji bora wa
Video |
Empty Souls |
| Mwanamuziki
bora wa Kanda (Nyimbo za Asili) |
Yange Yange Arts (Dodoma) |
| Mwanamuziki bora wa
kanda (Bongo Fleva) |
Masela Camp (Arusha) |
| Albamu bora ya Afrika
Mashariki |
Chukua (Longomba's,
Kenya) |
| Wimbo bora wa Asili |
Thamini Chako (Mbega
Arts, Bagamoyo) |
| Wimbo bora wa Kiswahili
(bendi) |
Ajali (Msondo Ngoma) |
| Wimbo bora wa Taarab |
Langu Jicho (Zanzibar
Stars) |
| Wimbo bora wa Zouk |
Siwezi Sema (Deo Mwanambilimbi) |
| Wimbo bora wa R&B |
Waja (MB Dog) |
| Wimbo bora wa Reggae
/ Ragga |
Ni Wewe (Hard Mad ) |
| Wimbo bora wa Hip Hop |
Mwanza Mwanza (Fid
Q) |
| Albamu bora ya Asili |
Nyamala Mwanangu (Olduvai
Band) |
| Albamu bora ya Kiswahili
(Bendi) |
Safari 2005 (African
Stars) |
| Albamu bora ya Taarab |
Sitaki Ushambenga (TOT) |
| Albamu bora ya Hip-Hop |
Mwanafalsafa (Unanitega) |
| Albamu bora ya RnB |
Usinicheke (Keisha) |
|