HOMEPAGE
Picture Gallery Send us feedback
* This website is allowed for people 18 years of age and above
Karibu/Welcome

MUNDUGWAO, HAFSA WATAMBA TUZO ZA KILI MWAKA 2007

MSANII Che Mundugwao akiwa na kundi la Mbega Arts, juzi aling’ara katika Tuzo za Muziki za Kilimanjaro 2006/07, baada ya kuwa msanii pekee aliyeshinda tuzo mbili katika sherehe zilizofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Mbali na Mundugwao, wasanii wengine waliotamba katika tuzo hizo ni pamoja na Hafsa Kazinja, Rehema Chalamila ‘Ray C’.................

SOMA ZAIDI

 

Mwimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma, Hassan ‘TX’ Moshi, akiwa katika pozi na Miss Tanzania 2005, Nancy Sumari, baada ya mrembo huyo kumkabidhi tuzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili ya bendi hiyo usiku ya 25 May 2007 katika hafla ya Tuzo za Muziki za Kilimanjaro Premium Lager kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.  
News
 
WASHINDI WA KILI MUSIC AWARDS 2007 NI:
SOMA ZAIDI
KATIKA PICHA
Picha kibao za ziara ya washindi wa Kili awards msimu uliopita katika mikoa ya Dodoma Shinyanga na Morogoro hizi hapa.
Soma zaidi
WINNERS TOUR
Tour of the Kili awards winners and their participation in Kili Winners Tour.
Soma zaidi
Contact us
Tanzania Music awards
Tanzania Breweries Ltd,
S.L.P. 9013
Dar es Salaam
Send us feedback
 
 
Designed and powered by INFOCOM TECHNOLOGIES LTD.