| Mwaka huu unaweza kupiga
kura kwa SMS! SMS namba maalum iliyo pembeni ya jina
la msanii umpendaye kwenda namba 15522. Au unaweza
kuchagua msanii mmoja katika kila kikundi cha wasanii
waliopendekezwa, kwa kubonyeza alama pembeni ya jina
lake. Kwa wanatotaka kutuma kupitia post, andika jina
lako, anwani na utume fomu hii kwa njia ya posta au
fikisha kwenye geti la ghala kuu la Tanzania Breweries.
Ukipenda, tuma kura kwa barua pepe, vote@kilitime.co.tz.
Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote
zinahesabiwa. Mpigie kura msanii wako!
|