Ali Kiba, Lady Jay Dee watamba tuzo za Kili
Wasanii Ali Kiba na Judith Wambura ambao kwa sasa wapo barani Ulaya kwa shughuli za kikazi, juzi usiku walitwaa tuzo za Kili Music jijini, Dar es Salaam.
Wimbo wa Cinderella ulimpatia tuzo chipukizi huyo baada ya kushinda katika kipengele cha Wimbo bora wa R\'n\'B, ambacho licha ya wimbo huo...
|