| Mwaka huu unaweza kupiga
kura kwa SMS! SMS namba maalum iliyo pembeni ya jina
la msanii umpendaye kwenda namba 15522. Au unaweza kuchagua
msanii mmoja katika kila kikundi cha wasanii waliopendekezwa,
kwa kubonyeza alama pembeni ya jina lake na kubonyeza Vote hapo chini.
Kwa wanaotaka
kutuma kupitia post, andika jina lako, anwani na utume
fomu kutoka magazetini kwa njia ya posta au fikisha mwenyewe kwenye geti la
Tanzania Breweries Ltd P.O.Box: 9013 Dar es Salaam.
Ukipenda, tuma kura kwa barua pepe kwenda vote@kilitimetz.com. Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote
zinahesabiwa. Mpigie kura msanii wako sasa!
|