WINNERS
Picture Gallery Send us feedback
Washindi wa Kili Music Awards 2008

Sherehe za kuwatunuku washindi wa tuzo za Kilimanjaro Premium Lager Tanzania Music Awards 2008 zilifanyika siku ya Ijumaa tarehe 28 June 2008, ndani ya Hoteli ya Kempinski kwa kutunuku tuzo hizo na burudani mbalimbali.

Yafuatayo ndiyo majina ya makundi/wasanii walioibuka kidedea tarehe 28 June 2008

AINA YA TUZO
JINA LA MSHINDI
   
Mwimbaji Bora wa Kike
Judith Wambura
Mwimbaji Bora wa Kiume
Marlaw
Albam Bora ya Taarab
Raha ya Mapenzi (Zanzibar Stars)
Wimbo Bora wa Mwaka
Bembeleza (Marlaw)
Wimbo Bora wa Kiswahili
Kuachwa (Khalid Chokoraa)
Albam Bora ya Kiswahili (Bendi)
Mtaa wa Kwanza (African Stars)
Wimbo Bora wa RnB
Cinderella (Ali Kiba)
Wimbo Bora wa Asili ya Kitanzania Itumba Mbwembwe
Alba Bora ya Asili ya Kitanzania Kisiwa cha Ukerewe (Malima Mjinja & Maringo Band)
Wimbo Bora wa Hiphop Ni Hayo Tu (Fid Q)
Wimbo Bora wa Reggae/Ragga Kati Yetu (Besta Rugeiyamu)
Msanii Bora wa Rap Chidi Benz
Wimbo Bora wa Afrika Mashariki Banjuka (DNA - Kenya)
Mtunzi Bora wa Muziki Mzee Yusuph
Mtayarishaji Bora wa Nyimbo Makochali
Mwandikaji Bora wa Nyimbo Mwana AF
Mtayarishaji Bora wa Video Empty Souls Production
Wimbo Bora wa Zouk Mbali Nami (Bushoke)
Wimbo Bora wa Kushirikiana Habari Ndio Hiyo (AY & Mwana FA)