2010 KILIMANJARO MUSIC AWARDS IMEZINDULIWA RASMI 18 FEB 2010.0.
Semina fupi ya 2010 KILIMANJARO MUSIC AWARDS Imeandaliwa na TBL kwa wasanii na waandishi wa Habari.Semina hiyo ilifanyika NEW WORLD CINEMA ALHAMISI 18 FEB 2010. Waalikwa wakishuhudia uzinduzi rasmi wa Kili Music Awards 2010 Ambapo baada ya kuwa tuzo hizi zimekuwa zikilalamikiwa kila mwaka ...........
|