NOMINEES
Picture Gallery Send us feedback
Piga kura

Zoezi la kumpigia kura msanii/bendi limesitishwa, washindi wa 2010 Kili Music Awards watatangazwa usiku wa tarehe 14 Mei 2010.

Kilimanjaro Premium Lager inawaletea Sean Kingston live in Dar, ataonekana kwenye usiku wa tuzo za Kili 2010 tarehe 14/05/2010 akiwapa suport washindi wa Killi Music Awards, na tarehe 15/05/2010 ndani ya Diamond Jubilee Hall, Sean Kingston atashuka dimbani na washindi wa 2010 killi Music Awards kwa show moja tu live na Bendi yake nzima kutoka States kwa Kiingilio cha shillingi 15,000 Tu Kwa Ticket za awali.

Ticket zitaanza kuuzwa siku 5 kabla ya concert na vituo vitatajwa hapo baadae. Kwa wale watakao nunua Ticket Mlangoni Zitapatikana kwa shillingi 20,000 Tu. Kutakua na interviews mbali mbali za moja kwa moja ndani ya studio tofauti na Sean Kingston Kabla ya siku ya Tunzo.

IT'S TANZANIAN TIME, MAKE THE MOST OF IT!

Bonyeza Hapa......