NOMINEES
Picture Gallery Send us feedback
Piga kura

Zoezi la kupendekeza msanii/bendi limesitishwa kwa sasa. Tafadhali, mpigie kura msanii/bendi yako sasa. Majina yaliyopendekezwa yanapatikana kwenye ukurasa wa kupiga kura au VOTE. Bonyeza hapa kumpigia kura mwanamuziki au kundi linalokuvutia katika tuzo za KILI MUSIC AWARDS 2009.

Bonyeza Hapa......

Mwaka huu unaweza kumpigia kura msanii/bendi kwa SMS! SMS namba maalum iliyo pembeni ya jina la msanii umpendaye kwenda namba 15522. Au unaweza kuchagua msanii mmoja katika kila kikundi cha wasanii waliopendekezwa, kwa kubonyeza alama pembeni ya jina lake na kubonyeza Vote hapo chini.

Wanaotaka kutuma kupitia posta, andika jina lako, anwani na utume fomu kutoka magazetini kwa njia ya posta au fikisha mwenyewe kwenye geti la Tanzania Breweries Ltd, P.O.Box: 9013 Dar es Salaam.

Ukipenda, tuma kura yako kwa barua pepe kwenda vote@kilitimetz.com. Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote zinahesabiwa. Mpigie kura msanii wako sasa!