Sherehe za kuwatunuku washindi wa tuzo za KILI Tanzania Music Awards 2010 zilifanyika usiku wa siku ya ijumaa tarehe 14 May, ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee Hall kwa kutunuku tuzo hizo na burudani mbalimbali.
Yafuatayo ndiyo majina ya makundi/wasanii walioibuka kidedea usiku wa KILI Tanzania Music Awards 2010.
|