Tanzania Breweries Limited
Tanzania Breweries Ltd.
50 Years of Uhuru

Bonge la kiburudisho kwa Watanzania

 

Kilimanjaro Premium Lager, ni bia halisi ya Kitanzania, iliyozinduliwa mwaka 1996. Bia hii ilipata jina lake kutokana na Mlima mrefu zaidi Afrika, Mlima Kilimanjaro, na hutengenezwa kwa kutumia kimea kilichokuzwa katika miteremko ya Mlima huu na maji safi na salama kama theluji iliyopo kileleni wa mlima huo.

 

Kuipa bia hii ladha timilifu kulichukua muda, ambao ni muhimu kama kiambato chochote kingine ambacho kipo ndani ya bia hii.

 

Viambato vyake huvunwa wakati sahihi, huchanganywa wakati sahihi na hupikwa kwa wakati sahihi, ili kuipa Kilimanjaro Premium Lager ladha ya kuburudisha.

 

Tangu kuzinduliwa kwa Kilimanjaro Premium Lager, bia hii imeendelea kuunga mkono mambo yanayoiburudisha jamii. Ikiiunga mkono Kili Marathon, Kili Taifa Cup, Timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga pamoja na Kilimanjaro Tanzania Music Awards, jambo ambalo limeifanya bia hii kuchukuliwa taswira ya "kuwa poa" katika jamii.

 

Uwezo wa bia hii wa kuburudisha na utulivu wake umeifanya ikawa ndiyo bia inayoagizwa na watu kila mara wanapojumuika.

Uwezo huu uliiwezesha bia hii kushinda tuzo la dhahabu la Monde Selection kwa ubora wake katika mashindano ya mwaka 2006 na pia 2009 ya World Beers & Soft Drinks Selection.

 

Kilimanjaro Premium Lager inapatikana nchini kote.

 

Kilimanjaro Premium lager... inawafikisha Watanzania kilele cha mafanikio.

 

« Uso wa tovuti/homepage »

Miaka 50 ya Uhuru
Radio Advert

UHURU TV AD »

Click here
Follow Kili on YouTube