





January 2012

Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni ya bia ya Kilimanjaro Steven Kilinde akikabidhi jezi kwa Katibu Mkuu wa timu ya Yanga Selestine Mwesigwa katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi za Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania leo katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Kilimanjaro Bw. George Kavishe

Bw. Steven Kilinde Mkurugenzi wa Mahusiano TBL, George Kavishe Meneja wa kinywaji cha Kilimanjaro, Evodius Mtawala Katibu Mkuu wa Simba

Viongozi wa Yanga na Simba pamoja na TBL wakiwa katika picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya vifaa vya michezo kwa timu ya Simba na Yanga.
Kushiriki katika promosheni ya maswali yaliopo kwenye chupa ya Kili, andika jina kamili na Jibu kisha tuma kwenda No 15723 nasi tutakupigia simu na utakuwa na nafasi ya KUSHINDA zawadi kemkem. Sikiliza Clouds FM kwa maelezo zaidi
Bonyesha hapa upate maswali na majibu
Mwisho wa promosheni ni 9 December 2011